„Jambo Bwana“

„Jam­bo, Jam­bo Bwana, habari gani? Mzuri sana!
Wageni mwakaribish­wa, Kenya yetu haku­na matata.
Kenya nchi nzuri. Haku­na matata.
Nchi ya kupen­deza. Haku­na matata.
Nchi ya ma’ajabu. Haku­na matata.
Nchi yenye amani. Haku­na matata.“