„Jambo Bwana“

„Jam­bo, Jam­bo Bwana, habari gani? Mzuri sana!
Wageni mwakaribish­wa, Kenya yetu haku­na mata­ta.
Kenya nchi nzuri. Haku­na mata­ta.
Nchi ya kupen­deza. Haku­na mata­ta.
Nchi ya ma’ajabu. Haku­na mata­ta.
Nchi yenye amani. Haku­na mata­ta.“